Mpaka Sasa Miili 419 Yapatikana Msitu wa Shakahola Baada ya Mingine 16 Kufukuliwa Wiki Hii




Ongezeko la miili hiyo limepatikana Julai 18, 2023 wakati Watu 95 wameokolewa na Vyombo vya Usalama tangu kuanza kwa mchakato huo, ikiaminika Mamia ya Wafuasi wa Kanisa la Habari Njema, walifariki kwa njaa, kupigwa vibaya au kukabwa katika Msitu wa #Shakahola

Chanzo cha matukio hayo inatajwa ni #PaulMackenzie ambaye anashikiliwa akidaiwa kuhubiri kuwa mwisho wa Dunia unakaribia, hivyo kuwashawishi wafuasi wake kufa kwa njaa ili waweze kumwona Yesu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad