Mpenzi wa Diamond Platnumz Kujifungua Mwezi wa Kwanza


Mpenzi wa Diamond Platnumz Kujifungua Mwezi wa Kwanza

Baada ya kuikamata namba 1 YouTube kupitia REMIX ya wimbo wake 'Baby' alioshirikiana na Chike, Diamond amethibitisha kuwa anatarajia kuongeza mtoto mwingine mwezi Januari.

Hivi karibuni kabla ya dual-release Diamond alijinasibu kwamba anataka kukaa namba moja hadi mwezi Januari kwa hits kali ambazo ataziachia back to back.

Licha ya kutomtaja jina mpenzi wake huyo ambaye anatarajia kupatanae mtoto wa 5, ila Diamond hakuacha habari hii iwe siri baada ya kuandika haya.

"Haya tukutane Januari mchumba anapoenda kujifungua".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad