2021 alikuwa mshindi wa tuzo ya mwanamitindo bora chipukizi wa Swahili Fashion Week, 2023 akatwaa taji la Miss Vyuo vya elimu ya juu na hatimaye kunyakua taji Miss Tanzania
Mrembo Tracy Nabukera atwaa taji la Miss Tanzania 2023
0
July 22, 2023
Tags