Msanii wa Bongo Fleva, Madee Ametoa Neno Baada ya Fid Q Kuonekana Akicheza Ngoma ya Amapiano.

 

Msanii wa Bongo Fleva, Madee Ametoa Neno Baada ya Fid Q Kuonekana Akicheza Ngoma ya Amapiano.


Msanii wa Bongo Fleva, Madee ametoa neno baada ya Fid Q kuonekana akicheza ngoma ya Amapiano.


Kupitia Insta ameandika; "Niliwasanua zamani sana kua Mziki wenu hauuzi mkanibishia, mngeshapata hela nanyie kama mimi.


"(AMRI) wote mlioingia studio nakunitusi mkafute mashairi yenu na mje Manzese kabla ya saa kumi kuniomba SAMAHANI bila hivyo hamtapata hela za mziki mpaka mnazeeka.


"Kaka yenu mliyekua mnamtegemea ndio kama hivo mnavomuona, ameleft. Roma coming soon," amesema Madee.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad