Mwanafunzi wa Sekondari Amchoma Kisu Cha Shingo Mwalimu wake




DAR: Mohamed Jabiri, Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Qiblatain Kawe, anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mwalimu wake Hassan Mohamed (21) baada ya kumshambulia kwa kisu shingoni

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, #MuliroJumanne, amesema Mtuhumiwa alitekeleza mauaji hayo Julai 20, 2023 baada ya kumshambulia Mwalimu aliyekuwa akiwahimiza Wanafunzi kuhudhuria Ibada ya Alfajiri

Marehemu alifariki wakati akipatiwa Matibabu katika Hospitali ya Mwananyamala

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad