Mwanamuzi Spyro Aliyedaiwa Kukopiwa Wimbo na Diamond Afunguka "Diamond ni Mtu Wangu Muacheni Apumue"

Kutoka Nigeria @spyro__official ameongea Baada ya @diamondplatnumz kutuhumiwa
ku-copy melody ya nyimbo kadha kutoka kwa wasanii wa Nigeria na kuzua mjadala mkubwa wa muziki, mitandaoni Tanzania, Nigeria, Ghana na South Africa.
-
@spyro__official ambaye ambaye tayari ana colabo na Diamond, Spyro ft Diamond Platnumz, Teni & Iyanya - For You, wanadai wimbo wake wa 'Who is your Guy?' (Remix) umekopiwa na Diamond na Jux kwenye kwenye 'Enjoy',Kutoka Nigeria @spyro__official ameongea Baada ya @diamondplatnumz kutuhumiwa
ku-copy melody ya nyimbo kadha kutoka kwa wasanii wa Nigeria na kuzua mjadala mkubwa wa muziki, mitandaoni Tanzania, Nigeria, Ghana na South Africa.
-
@spyro__official ambaye ambaye tayari ana colabo na Diamond, Spyro ft Diamond Platnumz, Teni & Iyanya - For You, wanadai wimbo wake wa 'Who is your Guy?' (Remix) umekopiwa na Diamond na Jux kwenye kwenye 'Enjoy',

Spyro ameandika,'Hakuna mtu ni kisiwa cha pekee yake, sote tunapata mawazo yetu kutoka maeneo mbalimbali, ukubali au ukatae, Diamond ni mtu wangu, tumeachia wimbo pamoja na amefanya vizuri humo, Mwacheni Diamond apumue'

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad