Mwanamuziki Marioo Ammwagia Maua ya Kutosha Kwa Paula Kajala

 

Mwanamuziki Marioo Ammwagia Maua ya Kutosha Kwa Paula Kajala

Unaweza kusema kama ni gari sasa hivi limewaka, penzi la Marioo na Paula limefika mahali ambapo ni pa juu sana, amini kwamba.


Unaambiwa Marioo ni full kujilipua tu, safari hii kachukua picha ya mtoto wa kike na kuiposti kwenye INSTA STORY yake.


Kama hiyo haitoshi, kaisindikiza na ujumbe mwanana wa kuonesha kwamba binti huyo wa mwigizaji Kajala Masanja amejaaliwa na Mungu katika suala zima la uumbaji.


"Nyie muoneni tu kwenye TV, live ndio mtakimbia huyo mtoto alivyoumbwa..."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad