Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga SC, Simon Patrick (@simon.esq ) amechaguliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa mwanasheria wa FIFA kusaidia masuala ya migogoro ya wachezaji ulimwenguni kote.
Simon Patrick(@simon.esq ) atahudumu kwenye nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu kama mwanasheria wa FIFA kutatua migogoro ya wachezaji.