Mwijaku Afunguka "Alikiba ndiye msanii mwenye pesa kuliko wasanii wengine wote Tanzania


By Mwijaku - "Alikiba ndiye msanii mwenye pesa kuliko wasanii wengine wote(Tanzania). Wasanii wakubwa wengine wote unao wajua wanaishi kwenye mijengo ya kupanga.Hii ni tofauti kwa Alikiba ambaye anamiliki mijengo ya ghorofa kadhaa hapa mjini likiwemo hili lilipo Tabata kwenye kiwanja cha eka 8

Ukiachana na hilo pia lipo lile ghorofa lake la mwanzo ambalo amewaachia waishi wasanii wake.Lakini pia ana nyumba za kawaida zisizopungua 10 hapa mjini

Nb👉🏽Kumbuka wengine wanasema wanamiliki vyombo vya habari ambavyo uhalisia wake ni kwamba wamewekeza hisa kidogo sana huku asilimia kubwa ya hisa zikimilikiwa na matajiri wengine ambao kimsingi ndio wamiliki.Utajiri hupimwa kwa aseti alizonazo mtu

Tukiacha mijengo Alikiba anamiliki mashamba makubwa ya kilimo cha umwagiliaji na ya kawaida. Kuna watu watakuja na hesabu za magari ya Escalade na RR .Jsmani hizo sio asset bali ni reliability (anasa)"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad