Ndoa ya Dulla Makabila na Zaiylisa inadaiwa Kupumulia Mashine..Wachapana Migumi


Ndoa ya Dulla Makabila na Zaiylisa inadaiwa kupumulia mashine ikiwa miezi hata mitatu haijaisha tangu waoane. Baada ya kuelezwa kugombana siku kadhaa zilizopita on na Dulla Makabila Kumshushia Kipigo cha Nguvu kisha wakasuluhishwa na dada wa Dullah, kwasasa wawili hao kila mmoja kampotezea mwenzie mtandaoni kwa kumuanfolo huku ikidaiwa limezuka gogoro zaidi baina yao

Kabla ya ndoa hii, Mwaka juzi Dullah Makabila aliwahi kuoa mwanamke mwingine ambaye ndoa yao haikudumu ikavunjika

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad