PCK amchambua na kumnyumbua Alikiba, amwagia sifa Diamond Platnumz



PCK amchambua na kumnyumbua Alikiba, amwagia sifa Diamond Platnumz amepost picha akiwa na mastaa hao wote wawili kisha kuanza kwa kumlipua Kiba

"Ndugu yangu ally hivi umeshaga kaa chini na kujiuliza why ukitoa nyimbo zako hua zina hit one week na kusahaulika?

1. Kwa sababu una kiburi

2. Hujawai kuheshim hata mashabiki zako

3. Anae kushauri vizuri kwako hugieuka adui

4. Una Roho ya kwa nini

5. Tafuta uongozi bora

6. Acha kuringia mashabiki wanaokufanya upate mloo

7. Acha kujishindanisha na diamond coz jiulize siku akifa utatembea na upepo wa nani? Ao ndo utatengeneza bifu na Rayvanny ao mario tena ili usikike?

Umshukuru saana marehem Ruge na clouds coz ulikuaga umepotea kwenye Game kabisa wao ndo wakaja kukufufua baada ya bifu lao na Diamond kua bifu kweli kweli So ninachokijua hata hiyo sumu ya panya mpaka juma5 watu watakua wameisahau Kwa ushauri tu naweza kukwambia Acha mziki na focus na kilimo umri umeenda" - ameandika PCK

Baada ya hapo akaandika haya kuhusu Diamond Platnumz

"Mwamba kabisa ifikie hatua kila nchi ya east africa ijenge sanamu la Diamond Platnumz coz ukweli ndo artist pekee anae iwakilisha east africa nzima kwa kila kitu Sifa kuu za Diamond Platnumz

1. Hanaga kiburi

2. Mtu wa watu

3. Msanii pekee anae hudhuria misiba ya mashabiki zake

4. Anapenda kuinua vijana wenzake

5. Anapenda kuinua wasanii wenzake na kuwasapoti kwakila jambo

6. Hanaga mambo yakuvimba wala kuringa

7. Ana thamini mashabiki zake Kwa sifa hizo ndiomaana mondi hata akae mwaka bila kutoa nyimbo hua thamani yake haishuki but hua inapanda kila siku kwakua ni mtu wa watu na watu hua wanajitoa kumsapoti kwa kila jambo lake Diamond Platnumz nikujuze tu kua tayari AfroCan atakuja kukupokea airport ya Toronto siku ya ijumaa na chakula chote cha Tanzania kimeandaliwa coz anajua unapenda ugali na dagaa mchele kwa kachumbari na mlenda so watu wa TORONTO wana kusubiria saaana kwa hamu kubwa"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad