Piga Kwa Diamond Platnumz na Jux, Wimbo wa Enjoy Wageuka Machungu


Hili ni pigo kubwa kwa @juma_jux baada ya msanii @diamondplatnumz kueleza kuwa material ya video ya wimbo 'Enjoy' aliopewa shavu na King of Hearts kufutika.

Diamond ameandika, "Jana usiku nilipokea habari za mshtusho na masikitiko toka kwa Jux, kuwa material ya video yetu ya 'Enjoy' yamefutika. Kiukweli nilishtuka na kuingiwa na simanzi".

Video ya wimbo huo imepangwa kurudiwa ku-shoot siku ya Ijumaa siku moja baada ya kurejea nchini kisha kuitoa rasmi Jumapili".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad