Puala Ana Mimba, ndoa soon - Mr Mwanya Atoa Siri

Puala Ana Mimba, ndoa soon - Mr Mwanya Atoa Siri


Mchekeshaji Mr Mwanya ambaye ana ukaribu na msanii Marioo amedai kuwa Marioo alimpa ruhusa ya kuongelea kuhusu ujauzito Paulah huku akiweka wazi kuwa wawili hao wana mpango wa kufunga ndoa hivi karibuni.


Akizungumza kwenye moja ya televisheni za mitandaoni, Mwanya amesema yeye anayo haki ya kumzungumzia Paulah kadili awezavyo.


"Marioo kaniruhusu mimi ni mshkaji wake, nimyongelee chochote kama vile ujauzito alionao Paula na hata ndoa wanayotarajia kufunga hivi karibuni," alisema Mr Mwanya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad