Sasa (kama) Tanzania tumeuza wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?, na siku ambayo Bunge letu limesema kwamba ni ruhusa bandari iendeshwe na Serikali na sekta binafsi, siku ya ya pili wenzetu wakasema ninyi moja, sisi zote zilizoko huku ziende sekta binafsi na wakakimbia kule kwenda kuwahi nafasi kama wale wanalumbana njooni huku.
Sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia haraka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia harakaharaka." - Rais Samia Suluhu Hassan