Rick Ross Amu Unfollow Hamisa Mobetto Baada ya Kutambulisha Bwana Mpya


Hamisa Mobetto na Rick Ross wapotezeana mtandaoni kwa kila mmoja kumuanfolo mwenzie ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu mrembo huyo wa Kibongo anunuliwe gari jipya la kifahari aina ya Range Rover na bwana'ke huyo wa sasa kwa jina la Kevin anayedaiwa kutoka nchini Togo


Bado haijajulikana wazi Mobetto na Rick Ross waliachanaje ikifikiriwa wakati walipokuwa pamoja kama wapenzi walikuwa hawaishi kuchombezana waziwazi mtandaoni, kwahiyo kila mmoja kumuanfolo mwenzie imewashtua baadhi hata kama wameachana

Hata hivyo, juzi kati Mobetto alisema kati ya wanaume wote aliowahi kuwa nao kimapenzi, Kevin pekee ndie mwanaume mwenye roho nzuri ya kipekee na mapenzi ya dhati

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad