Shafih Dauda "Kibegi Cha Simba Ndio Sababu ya Yanga Kutokujaza Uwanja"



Maoni ya DIGALA kwa kile kilichotokea Juzi kwenye Tamasha la Yanga ,majukwaa kuonekana yamepwaya .

“Simba na Yanga ni wapinzani wa Jadi lakini upinzani kuna sehemu una mipaka sio kwenye kila kitu na huo ushindani ni uwanjani , sasa hivi kuna ushindani mwingine hadi huku nje hapa wanahitaji kukaa mezani ishu ya biashara haihitaji ushindani na kutengenezeana shoti “

“Wakati Yanga wanafanya promo ya Tamasha lao Simba wakawa wanatangaza Kibegi ile ikatrend na siku ya tamasha Simba wakazindua jezi watu wakakesha na jezi hiyo kwangu mimi ndio ilileta shoti “

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad