SIMBA Kumekucha, Tshabalala Amwaga Wino Simba SC

SIMBA Kumekucha, Tshabalala Amwaga Wino Simba SC


Baada ya Simba SC kumuongezea mkataba mlinzi wake wa kulia Shomari Kapombe, Simba SC pia imemuongezea mkataba tena mlinzi wa kushoto Mohamed Hussein ‘ Tshabalala’.

Tshabalala amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kukipiga Msimbazi.

Mkataba huo mpya utaisha Juni 2025.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad