SIMBA Watangaza Kumalizana na Chama Kibabe, Kwenda Uturuki Ijumaa

 

SIMBA Watangaza Kumalizana na Chama Kibabe, Kwenda Uturuki Ijumaa

Rasmi Klabu ya Simba imetangaza kumalizana na Mchezaji wao, Clatous Chama na sasa anajiandaa kwenda Uturuki kwenye kambi ya timu hiyo.


”Tabu ipo pale pale kwa wapinzani 🤩 . Clatous Chama na Fabrice Ngoma siku ya Ijumaa Julai 21, 2023 wataanza safari kwenda kwenye kambi yetu nchini Uturuki.”- Simba SC


Alfajiri ya leo baadhi ya wachezaji wa Simba SC wamekwea pipa kuelekea Uturuki kwaajili ya kujiunga na wenzao.


Baadhi ya mastaa hao ni pamoja na Che Malone, Jean Baleke, Aubin Kramo na Willy Onana.


Anaandika Hamza Fumo ( @fumo255 )

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad