Simba Yamsajili Kipa Kutoka Brazil






Simba imekamilisha usajili wa mlinda lango Jefferson Luis Szerban de Oliveira raia wa Brazil

Jefferson anajiunga na Simba akitokea klabu ya Resende iliyopo Serie D nchini Brazili

Eneo la mlinda lango ndio nafasi pekee iliyokuwa ikiwaumiza kichwa mashabiki wa Simba

Bila shaka Jefferson anakwenda kuibeba Simba katika kipindi chote ambacho mlinda lango namba moja Aishi Manula atakuwa akiuguza majeraha
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad