Simba Yamuuza Mchezaji Pape Sakho Ufaransa


Club ya Simba imetangaza rasmi kuwa imemuuza Kiungo wao Mshambuliaji Pape Sakho Raia wa Senegal kwenda katika Club ya Quevill Rouen ya Ligue 2 nchini Ufaransa.

Sakho anaenda Ufaransa kucheza Ligi namba mbili kwa Ubora nchini humo baada ya Ligue 1 ambayo wanacheza wachezaji kama Kylian Mbappe, Neymar na Sanchez.

Msimu uliopita wa 2022/2023 Quevilly Rouen walimaliza nafasi ya 11 katika timu 20 zinazoshiriki kuwania kucheza Ligue 1, hivyo Sakho ana mtihani pia wa kuisaidia timu hiyo kupanda daraja ujao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad