Skudu Awaita Wananchi kwa Mkapa Kushuhudia Yanga Wakitambulisha Wachezaji wao Wapya

 

Skudu Awaita Wananchi kwa Mkapa Kushuhudia Yanga Wakitambulisha Wachezaji wao Wapya

Winga mpya wa Young Africans SC, Skudu Makudubela, amewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo wao dhidi ya Kaizer Chiefs.


Mchezo huo wa kirafiki kwenye kilele cha Siku wa Mwananchi kesho Jumamosi, saa 1:00 katika Dimba la Mkapa ukiambatana na kutambulisha kikosi cha timu hiyo ambacho kimesajiliwa kwa ajili ya msimu ujao 2023/24.


"Tupo kwenye maandalizi ya awali kujiandaa na msimu mpya, kwa niaba ya wachezaji wenzangu kwanza niseme ni heshima kubwa sana kwangu kuwawakilisha kwenye mkutano huu na ujumbe wetu kwenu tunaomba kesho mje kwa wingi tumewaandalia burudani nzuri," amesema Skudu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad