Akiongea na Waandishi wa Habari leo July 27,2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema huduma hiyo itaanza October mwaka huu.
"Tatizo la nguvu za kiume linaongezeka sana Tanzania kwa mishipa kuziba na linatokea saa kwa wenye Kisukari na Presha kubwa tutachunguza hilo kwa kuzibua hiyo mishipa na itakuwa matibabu endelevu”