TANESCO: Bei ya Umeme Haitashuka Hata Bwawa la Nyerewe Likianza Kutumika



Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania, Maharage Chande, amesema Bwawa litapunguza gharama za uzalishaji wa Nishati hiyo lakini sio Bei ya Umeme kwasababu Shirika litashindwa kujiendesha endapo litafanta hivyo

Amesema hadi sasa Wateja wanaohudumiwa na TANESCO ni Milioni 4.4 wakiwemo Wateja wa Majumbani na wa Viwandani. Pia, gharama za uzalisha zimepanda kutoka Tsh. Trilioni 1.5 Mwaka 2020/21 hadi Tsh. Trilioni 1.6 Mwaka 2021/22

Ikumbukwe Serikali ya Awamu ya 5 iliahidi kushuka kwa Bei ya Umeme baada ya kukamilika kwa Bwawa la JNHPP linalotarajiwa kuzalisha Megawati 2,115 za Umeme kuanzia Juni 2024

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad