Tanzania Yaichapa Zanzibar CECAFA U18

 
Tanzania Yaichapa Zanzibar CECAFA U18

Tanzania yaichapa Zanzibar CECAFA U18

Bao pekee la Aisha Mnunka limeipa Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Zanzibar katika mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa mabinti chini ya umri wa miaka 18 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.


Ushindi huo wa tatu baada ya Tanzania kuzifunga Burundi na Ethiopia unaiweka kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa michuano hiyo kuelekea mechi ya mwisho na Uganda.


Mechi nyingine ya leo Ethiopia imeichapa Burundi 2-0 hapo hapo Azam Complex.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad