TANZIA: Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amefariki Dunia


TANZIA: Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amefariki Dunia katika Hospital ya Lugalo Jijini Dar es Salaam. Maziko yanatarajiwa kufanyika Zanzibar

Akiwa Mwenyekiti wa Tume hiyo aliwahi kufuta Matokeo ya Uchaguzi Kisiwani #Zanzibar Mwaka 2015 akidai Uchaguzi  huo haukuwa wa haki na kwamba kulikuwa na ukiukwaji wa Sheria za Uchaguzi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad