Wadakwa Wakiwa Wanafanya Mapenzi Nyumbani Kwa Jirani



Polisi nchini Uganda wanamshikilia Mwanaume (23) na Mpenzi wake (35) kwa kosa la kuingia nyumba ya Jirani wakiwa wanatoka Baa usiku kisha kufanya mapenzi kwenye kitanda cha Jirani huyo Margaret Awino ambaye aliwakuta wakiwa uchi.

Kamanda wa Polisi Wilaya ya Apac, Rogers Kafere amethibitisha kushikiliwa kwa Wapenzi hao ambapo amesema kwa mujibu wa sheria za Uganda kama Mtu akiingia na Mpenzi wake kwenye nyumba isiyo yake bila rukhsa ya Mwenye nyumba hiyo ni kosa kisheria na atahukumiwa kwenda jela, limeripoti gazeti la Daily Monitor

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad