Watanzania Wakamatwa Wakidaiwa Kuelekea Somalia Kujiunga na Al Shabaab

 

Watanzania Wakamatwa Wakidaiwa Kuelekea Somalia Kujiunga na Al Shabaab

Polisi wanawashikilia Abdirahman Shaffi Mkwatili(25) na Sadam Jafari Kitia(30) waliokiri walikuwa wakielekea kujiunga na #AlShabaab, baada ya kuwakamata Julai 12, 2023 wakiwa na daftari lililoandikwa kwa Kiswahili ambalo linadaiwa walikuwa wakitumia kuwaongoza kutoka #Tanzania hadi Jilib, #Somalia


Kukamatwa kwao kumekuja Wiki 2 baada ya Watanzania wengine watatu, Abdul Saif Salimu, Zuberi Ngare Mtondoo na Seif Abdalla Juma, waliodaiwa kuwa katika harakati za kujiunga na kundi hilo kukamatwa Nchini Kenya kufuatia taarifa za Wananchi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad