Watu 6 Wamefariki na Wengine 14 Kujeruhiwa Gaada ya Gari Kuwagonga wakifanya Jogging



MWANZA: Watu 6 wamefariki na wengine 14 kujeruhiwa baada ya gari binafsi kuwagonga wakifanya mazoezi kandokando ya Barabara eneo la Sabasaba, Ilemela, asubuhi ya leo Julai 22, 2023
-
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Gideon Msuya, amesema Gari hiyo aina ya Toyota Hilux iliyokuwa ikitoka Sabasaba kuelekea Buswelu ilipoteza mwelekeo kutokana na Mwendokasi na kisha kuwavamia Watu 27 waliokuwa wakifanya Mazoezi
-
Amesema, Majeruhi Wanne wamepelewa Hospitali ya #Bugando, na wengine 10 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, #SekouToure huku juhudi za kumtafuta Dereva zinaendelea kwa kuwa alikimbia mara baada ya tukio hilo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad