WCB Watamba Nominations Tuzo za The Headies Huko Nigeria


Majina ya wasanii wanaowania tuzo za Nigeria za @the_headies mwaka huu yametoka na Tanzania tumewakilishwa na wasanii watatu,

Tz tumewakilishwa na @diamondplatnumz @rayvanny na @officialzuchu

Diamond ameachaguliwa Kuwania Katika Kipengele Cha "African Artiste Of The Year' Akichuana Na BurnaBoy, Rema, BlackSherif Na MarwaLoud

Kwenye 'Best East African Artiste Of The Year' Ni Rayvanny, Zuchu, DiamondPlatnumz Hewan Gebre na Kutoka Uganda ni EddyKenzo .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad