Wilson Oruma "Yanga Wamemchukua Jonas Mkude Kipindi Ameshachoka"


Uchambuzi wa Rais wa wapanda daladala, Mzee wa Jambia Wilson Oruma kuhusu Usajili wa Jonas Mkude Yanga

"Yanga wamemchukua Mkude kupindi ameshachoka, ukikaa sana sehemu moja unazoeleka, Yanga wanakwenda kumpa nafasi ya kurejea kwenye ubora wake, huniambii kocha Gamondi anamfahamu Mkude, huu ni usajili wa mapendekezo ya viongozi"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad