Yanga Kutest Mitambo na AS Vita iliyopo Nchini




Licha ya Gamondi kutoainisha timu anazotaka kucheza nazo kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii, taarifa ambazo Arena imepenyezewa kwamba huenda keshokutwa ikacheza na AS Vita 🇨🇩 iliyopo nchini kwa ajili ya pre-season, mchezo unaotarajiwa kupigwa Uwanja wa Azam Complex.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad