Yanga na Kocha Msaidizi Kaze wamefikia hapa

 

Yanga na Kocha Msaidizi Kaze wamefikia hapa

Uongozi wa Yanga bado upo Kwenye mazungumzo na kocha Cedric kaze kwa ajili ya mkataba mpya.Yanga tayari wameshamtangaza kocha wao mpya Miguel Angel Gamondi ambaye atakuja kurithi nafasi ya kocha Mohamed Nasreddine Nabi.


Miguel Angel Gamondi ametoa baraka zote kwa Uongozi wa Yanga kumalizana na kocha Cedric kaze.Miguel Angel Gamondi anataka kufanya kazi na Cedric kaze.


Bado hadi sasa Yanga wanasubiri hatma ya kocha wao Helmy Gueldish,Yanga wapo tayari kufanya nae mazungumzo ya kumpatia mkataba mpya. Yanga wapo Kwenye hatua nzuri kumalizana na golikipa wao Metacha Mnyata.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad