Yanga Wameshtuka....Waingiza Majina 21 Usajili TFF


Hatimaye baada ya jana TFF kutoa orodha iliyoonyesha Yanga hawajasajili mchezaji hata 1 kwenye system, leo TFF wamekuja na orodha nyingine ikionyesha Yanga wameingiza majina 21, Simba 26, Singida 23 na Azam 7. Yanga wamestuka na kwa siku 1 wamefanya usajili wa wachezaji 21.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad