Yanga Wanahitaji Mtu Kama Bangala, Zawadi Mauya Ana Kazi ya Kufanya




Yanga wanahitaji kupata mtu kama Bangala, kwenye kikosi chao, bado Zawadi Mauya ana kazi ya kunidhibitishia kwamba ana uwezo wa kurithi vizuri viatu vya Bangala,

Mchezo wa kirafiki dhidi ya Kaizer ameonyesha uwezo mzuri, ikitokea amepata majeruhi nani ataweza kuchukua nafasi yake, kuna muda sawa mwalimu anaweza kuanza na 'holding' pamoja na kiungo wa kati waafanya kazi vizuri ila kuna baadhi ya michezo mpinzani anatunia viungo watatu ambao wanacheza vizuri kama hujajipanga kuhakikisha unalinda 'back Four' yako utakutana na mazingira magumu.

Maoni ya Mchambuzi wa soka, Joseph Kessy kwenye Kipindi cha The Scoreboard.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad