Abdulrazak Akikiri Hadharani Alimkosea Diva



Abdulrazak akikiri hadharani alimkosea Diva

"Vitu vyote Vizuri kwenye Huu Ulimwengu wabaki navyo ila waniachie wewe mtanga wangu Only You, wewe ndio Ninaekupenda. Sijawahi kukutana na mwanamke strong kwenye maisha yangu kukuzidi wewe, nimekukosea saana ukanisamehe, maneno mengi umeyasikia na kuambiwa bado ukanisamehe, mengi umeyaona na bado ukanisamehe, Kukulinda ni jukumu langu hata iweje.

Kokote ulipo Nataka wewe ujue na Dunia Ijue Sina ndoa hadi muda huu zaidi ya ndoa yangu na wewe, na kama Mume katika ndoa Hii NIMEKURIDHIA radhi zangu unazo na kama Pepo ni radhi za mume basi tayari pepo yangu unayo.

NITAKULINDA na NITAKULINDA, vita zako zote niachie mimi NITAPAMBANA nazo hata kama zinatoka ndani ya familia yangu MIMI nitapambana nazo. Diva You came during the darkest points of my life and you made it shine ✨, Letting you down is the worst thing I could do for myself”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad