Alicho kisema Haji Manara baada ya Yanga kupokea kichapo kutoka kwa simba






 Haji Manara amewataka mashabiki wa Yanga SC kuyapokea matokeo ya dabi Kariakoo kwani ndio mpira ulivyo.

Manara ametoa kauli hiyo akiwa njiani kuelekea nchini Marekani ambako amedai anakwenda kuaandaa vipindi kwa ajili ya televisheni yake ya mtandaoni.

"Huu ndio mpira ulivyo una matokeo ya kikatili wakati mwingine hivyo lazima tukubali hata kama sisi tulicheza vizuri na wao wameshinda kwa penalti lakini lazima watuzodoe," alisema Haji.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad