Aliyechukua Nafasi Fiston Mayele Aomba Wanayanga Kumsahau Mayele na Kumpa Support yeye


“Nafahamu Yanga ameondoka mchezaji muhimu sana (Mayele). Mayele atabaki kuwa Mayele na mimi nitabaki kuwa mimi kikubwa nawaomba mashabiki wawekeza nguvu zao kwa wachezaji tuliopo. Watupe ushirikiano mambo mazuri yanakuja wasiwe na wasiwasi”

“Mimi ni muislamu imani yangu hainuruhusu kutabiri yanayokuja, ila nina matumaini makubwa. Siwezi kusema nitafunga magoli mangapi lakini nitajitoa kadiri ya uwezo wangu kuisaidia klabu ipate mafanikio” Hafiz Konkoni

Mshambuliaji Mpya wa Yanga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad