Aliyekuwa CEO wa Simba Barbara Gonzalenz Athibitisha Kujifungua Mtoto

 

Aliyekuwa CEO wa Simba Barbara Gonzalenz Athibitisha Kujifungua Mtoto

Aliyekuwa CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalenz amethibitisha kuwa mama baada ya kuweka picha yake akiwa na mwanaye.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Barbara ameposti picha hiyo akiwa amembeba mwanaye huyo lakini amemziba sura.

"Mama J❤️ Alhamdulilah for everything," aliandika Barbara.

Barbara alikuwa kimya kwa muda mrefu kuonekana live huku taarifa zikieleza kuwa ni mjamzito lakini mwenyewe hakuwahi kukiri.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad