Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Arusha na Wenzake Wahukumiwa Kifungo cha Miaka 20 Jela



Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imetoa hukumu hiyo kwa Dkt. John Pima aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, na wenzake wawili baada ya kukutwa na makosa ya uhujumu uchumi

Wengine waliohukumiwa ni Mariam Mshana (aliyekuwa Mweka Hazina wa Jiji la Arusha) na Innocent Maduhu (aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji)

Aidha, Mahakama imeeleza miezi 14 waliyokuwa kizuizini itazingatiwa katika hukumu yao, pia washtakiwa wana haki na nafasi ya kukata rufaa katika Mahakama Kuu endapo hawajaridhika na hukumu hiyo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad