Aliyempa Mpenzi Wake Figo Apigwa Chini

Aliyempa Mpenzi Wake Figo Apigwa Chini


Kwa moyo wa masononeko na kwa sauti ya upole, TikToker maarufu aliyefahamika kama Colleen Le, licha ya kuwa kwenye mahusiano mapya kwa sasa kupitia mtandao wa TikTok alielezea kuhusu mpenzi wake wa zamani (Dear Ex) ambaye walidumu nae kwa zaidi ya mwaka.


"Nilipata taarifa ya kwamba mpenzi wangu anasumbuliwa na matatizo ya figo nilitamani kumchangia lakini miezi saba baada ya matibabu alinisaliti.


"Nifuraha yangu kuwa sehemu ya mtu kupata nafasi nyingine ya kuishi, ukiachana na yote ambayo yametokea," alisema Colleen Le.


Unaweza ukamchangia figo mpenzi wako? tuandikie hapo chini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad