Asafiri Siku 8 kwa Baiskeli Kumuona Davido, DAVIDO Amkataa Amwambia Arudi Alipotoka

 


Shabiki kindaki ndaki wa msanii kutoka nchini Nigeria Davido, Emmiwuks Embarked ametumia siku 8 kusafiri kutoka Benue mpaka Lagos kwa kutumia usafiri wa baskeli, kwa ajili ya kukutana na mwanamuziki huyo.


Davido baada ya kuona tukio hilo ame-tweet na kumtaka kijana huyo kurudi alipotoka kwa sababu hayupo nyumbani.


Tweet hiyo ikieleza kuwa “Turn around I’m note home”


Je una neno lipi kwa Davido na Shabiki wake? Tupe maoni yako


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad