Askofu SHOO: Ikifika Hatua ya Kukemea Tusiambiwe Tunachanganya DINI na Siasa

 

Askofu SHOO: Ikifika Hatua ya Kukemea Tusiambiwe Tunachanganya DINI na Siasa

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema Kanisa hilo linaunga mkono fursa zinazotengeneza kuwawezesha Wananchi kupata maendeleo kupitia Utawala wa Sheria, Kuheshimu Haki za Binadamu na kuruhusu Demokrasia ya kweli kwa Wananchi na kwenye Vyama vya Siasa

-

Amesema “Kama tukiona kuna sehemu hakupo sawa hatutaacha kuwaona, kuwashauri, kukemea na ikifika hatua hiyo tusiambiwe kuwa tunachanganya Dini na Siasa.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad