BREAKING: Fiston Mayele Mchezaji Bora Afrika



Mshambuliaji mpya wa Pyramids Fiston Mayele🇨🇩 amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji Bora wa Afrika anayecheza ligi ya ndani (Afrika). Baada ya kupata kura 140,000 Fiston Mayele🇨🇩 anaibuka mshindi kwa kuwashinda mchezaji wa Al Ahly Mahmoud Kahraba🇪🇬 pamoja na Khaled Bousselian kutoka USM Alger🇩🇿.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad