BREAKING: Rais Samia Mgeni Rasmi Simba Day

BREAKING: Rais Samia Mgeni Rasmi Simba Day


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye siku muhimu kwa Klabu ya Simba (Simba Day) itakayofanyika Jumapili, Agosti 6, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye siku muhimu kwa Klabu ya Simba (Simba Day) itakayofanyika Jumapili, Agosti 6, 2023. Klabu ya Simba imemshukuru Dkt Samia kwa mchango wake mkubwa kwenye sekta ya Michezo na Maendeleo ya Taifa kwa ujumla na kumkaribisha kwenye tukio hilo muhimu kwa wapenda michezo wote nchini Tanzania.

Kumbuka sherehe zote zitakuwa mubashara kwenye app yetu Bure bofya hapa kuipakua sasa ili usipitwe

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad