Web

BREAKING : Wimbo wa Jux na Diamond ENJOY Wafutwa You Tube

Top Post Ad


BREAKING NEWS: Audio version ya nyimbo ya Jux na Diamond Enjoy, umepigwa copyright ban huko YouTube sababu wameiba kazi ya watu.

Wimbo umepigwa ban na YouTube baada ya YouTube kujiridhisha ni kazi ya msanii kutoka Congo.

Nahisi na video pia itapigwa ban soon

Mpaka sasa haijafahamika sababu ya Msanii huyo kuushusha wimbo huo ambao umepata mapokezi makubwa toka kuachiwa kwake.


Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.