Diamond Platnumz Akutana na Rais Kagame

 

Diamond Platnumz Akutana na Rais Kagame

NYOTA wa Bongo Flava, Diamond Platnumz akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.

Diamond yupo nchini Rwanda katika ziara ya kikazi kuburudisha wapenzi wa burudani nchini humo.

Nyota huyo kwa sasa anatamba na kibao cha Enjoi alichoshirikishwa na nyota mwenza Juma Jux.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad