Ikiwa umepita mwezi mmoja tu tangu Msanii wa Singeli Dullah Makabila kuthibitisha kuachana na mkewe Zayllisa.
Msanii huyo ameibuka na kudai kuwa sasa hivi akitaka kuoa ataoa raia wa kigeni na asiezungumza Lugha ya Kiswahili ili kuwakomesha wambea wanaopeleka maneno kwenye mahusiano yake.
Akizungumza Dullah amesema;
"Nimegundua dawa ya wambea bongo ni kuoa Mchina tu au Mjapani mana akiwa Mswahili mwenzao watamjaza maneno wee! hadi mtaachana."