Fiston Mayele Afunguka "Nilimkataza Fei Toto Asiondoke Yanga"


"Feitoto ni rafikiangu sana, anajua mambo yangu mengi na mimi najua mambo yake mengi. Wakati tukiwa Tunisia kwa ajili ya mechi dhidi ya Club Africain aliniambia anataka kuondoka Yanga!

“Nilimuuliza unaondokaje wakati bado unamkataba? Akaniambia kwa namna mkataba wake ulivyo anaweza kuondoka wakati wowote.”

“Nilimshauri asubiri hadi tumalize msimu halafu ndio aondoke lakini bado aliendelea kusisitiza anataka kuondoka Yanga.”

- Fiston Mayele via Yanga Documentary.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad