Gamondi Awapiga Wapinzani Chenga ya Mwili, Afanya Umafia huu

 

Gamondi Awapiga Wapinzani Chenga ya Mwili, Afanya Umafia huu

Kama ulitarajia kuiona Klabu ya Yanga ikicheza popote kabla msimu haujaanza, umeumia.


Kocha Miguel Gamondi amefuta uwezekano wa kuwepo kwa mechi yoyote ya kirafiki kubwa ambayo itahusisha mashabiki.


Tangu Yanga ianze maandalizi, imeshacheza mechi mbili za kirafiki ikianza na Kaizer Chiefs ikishinda bao 1-0, kabla ya kuirarua Magereza 10-0.


Baada ya mechi hizo mbili taarifa zilisema kocha huyo hataki kucheza mechi zozote za Kirafiki mbele ya mashabiki.


Akili hiyo ya Gamondi inaonyesha kocha hataki kuweka wazi makali ya kikosi chake kabla ya kukutana na Azam FC katika Ngao ya Jamii.


Kulikuwa na taarifa hapo awali kuwa Yanga itacheza mchezo wa kirafiki na Klabu ya AS Vita kutoka Cngo Agosti 6.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad