Gigy amfokea vibaya Zuchu 'usinidharau, nitaoa vitu vya bwana'ko'

 

Gigy amfokea vibaya Zuchu 'usinidharau, nitaoa vitu vya bwana'ko'



Mji umechangamka sasa! Unaambiwa baada ya Zuchu kumwambia Mange Kimambi kuwa bwana wake hawezi kutoka na Gigy na kuonesha kama yeye ana thamani kuliko, Gigy ameibuka na kumvaa Zuchu.


Gigy ameingia Insta live na kumfokea vibaya Zuchu kwa kumuambia kama anamtetea bwana wake Diamond amtetee lakini asimdharau yeye.


"Wewe kama unamtetea bwanako mtetee lakini usinidharau mimi. Usitake kunifanya nitoe vitu ambavyo hata bwana wako hajui kama ninavyo," alisema Gigy.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad